Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 21 Februari 2016

Bahasha za kupanda na Bwana zagawiwa kwa wakristo.

Wakristo wakipokea bahasha za kupanda na Bwana. Tarehe 6/3/2016 ni siku ya kupanda na Bwana, neno tutakalo lisimamia linatoka  2Wakorintho 9:6 "Apandaye haba atavuna haba". Wakristo tunatakiwa kujiandaa kikamilifu na kupanda mbegu iliyo bora
 Fr. Challo akitoa maelezo kabla ya kugawabahasha za kupanda na Bwana
Fr. Challo akiendelea na zoezi la kugawa bahasha
Zoezi likiendelea


0 maoni:

Chapisha Maoni