Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 21 Februari 2016

Familia ya Bw. Kafyulilo yamshukuru Mungu

Familia ya Bwana Kafyulilo ambaye ni mume wa katibu msaidizi wa Kanisa, imemshukuru Mungu kwa kupata mtoto wa kike (Alsa) pamoja na mambo mengine mengi  aliyo watendea. Pichani juu Fr. Patrick Challo akimpa Baraka mtoto Elsa pamoja na familia kwa ujumla.

Baadhi ya wanajumuiya wa jumuiya ya Msamaria Mwema waliisindikiza familia ya Bw. Kafyulilo kumshukuru Mungu.