Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 14 Februari 2016

Kuwatembelea watoto yatima kituo cha Buza Jumatatu ya pasaka

Kituo cha watoto yatima Buza kinachofadhiliwa na Askofu Dr Valentino Mokiwa wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Dar-es-salaam na wahisani kutoka nchi za nje.

Kanisa limepanga kutembelea watoto yatima wa kituo cha Buza, safari hii itaratibiwa na 'Fellowship' ya hapa kanisani. Kila mkristo atakayependa kwenda atachangia Tsh. 3,000/= Hii ni gharama ya Usafiri tu. Safari itaanzia hapa kanisani saa 4:00 asubuhi.

Safari hii inawahusisha wakristo wote, 0 maoni:

Chapisha Maoni