Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 21 Februari 2016

Matukio ya Ibada ya leo

Mwinjilisti John Haule akihubiri katika ibada ya leo. Alisisitiza juu ya kumtolea Mungu.

Ibada ya ilikua moja tu, ili kuwezesha Semina ya Kazi kufanyika kuanzia saa 4:00.

Ibada iliongozwa na Fr. Patrick Chalo
Msaidizi: Mwinjilisti John Haule
Mahubiri: Mwinjilisti John Haule
Kwaya: Sayuni na Uinjilisti

Somo la kwanza: Mwanzo 7:17-24
Somo la pili: 1Wakorintho 6:1-11
Injili: Mathayo 17:1-8
Zaburi: 119:33-40

Wazo kuu: Utakaso

 Baada ya kutoa matangazo, katibu wa kanisa Bw. John Mwimbe alipokea sadaka ya kikombe cha sakramenti toka kwa wakristo.
 Mzee wa zamu Jumapili ya leo Bw. Elikana akiwa makini katika kuwaongoza wakristo
 Wakristo upande wa akina mama.
 Wakristo upande wa akina baba.
 Watoto wakiendelea na mafundisho kwenye darasa lao la 'Sunday School'

Watoto wakiendelea na mafundisho kwenye darasa lao la 'Sunday School'

 Watumishi wakiwa mbele ya darasa la wakiwafundisha watoto
Sayuni kwaya wakimsifu Bwana. Kutokana na tatizo la umeme walilazimika kuimba bila kupiga vyombo vya muziki.

Uinjilisti kwaya wakimsifu Bwana. Pia kutokana na tatizo la umeme walilazimika kuimba bila kupiga vyombo vya muziki. 
Wakristo waliojitokeza kumtolea Mungu fungu la kumi

Wakristo wakitoa sadaka

 Ni wakati wa kupokea sakramenti
 Mwisho wa ibada, Wakristo wakipeana mikono nje ya kanisa

0 maoni:

Chapisha Maoni