Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 14 Februari 2016

Matukio ya Ibada ya pili jumapili ya leo (1 Kwaresma)

Fr. Patrick Chalo akihubiri wakati wa ibada ya pili, na alikazia sana katika suala la utoaji akinukuhu 2Wakorintho: 9:6 na Mwanzo 4: 1-10. Ya kwamba Mungu anaitakabari sadaka iliyonjema kama ya Habil, yaani chochote kilicho kinyonge unachotoa kama sadaka Mungu hakipokea kama alivyokataa sadaka ya Kaini.

Ibada iliongozwa na Fr. Patrick Chalo
Msaidizi: Mwinjilisti John Haule
Mahubiri: Fr. Patrick Chalo
Kwaya: Sayuni
Somo la kwanza: Mwanzo 4:1-10
Somo la pili: 1Petro 4:1-11
Injili: Luka 4: 1-13


Mwinjilisti John Haule akisoma Injili toka kitabu cha Luka 4: 1-13 akisaidiwa na wahudumu wa madhabahuni.
 Waumini upande wa akina mama
 Waumini upande wa akina baba
 Katibu wa Kanisa John Mwimbe akipokea michango ya kununua Kikombe cha sakramenti
Fr. Chalo akiwatangazia waumini kuhusu kuichangia kwaya ya Sayuni ili wakarekodi nyimbo zao za Audio. Mkononi ameshika kadi ambazo nyingine zimegawiwa kwa baadhi ya waumini ili wakachangishe, mwisho wa kurudisha kadi hizo ni tar 15/4/2016
 Mwimbaji wa Sayuni kwaya (Adela) akiimbisha pambio kabla ya Mahubiri kuanza

 Waumini waliojitokeza kumtolea Mungu fungu la 10
 Sayuni kwaya wakimsifu Bwana
 Sayuni kwaya wakimsifu Bwana
 Sayuni kwaya wakimsifu Bwana
 Wakati wa kupokea Sakramenti
Padre aliwataka vijana wa Kipaimara kuendelea na misa ya wakubwa badala ya kwenda kwenye darasa la 'Sunday School' ili kujifunza mambo ambayo hufanyika katika ibada za wakubwa.

0 maoni:

Chapisha Maoni