Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 21 Februari 2016

Tangazo rasmi la mkutano mtakatifu wa Sinodi ya 19 ya Dayosisi ya Dsm

Barua kuhusu mkutano mtakatifu wa Sinodi ya 19 ya Dayosisi ya Dar es Salaam ambayo ilisoma na Fr. Challo mbele ya wakristo kwenye ibada ya leo. Fr. Challo alimteua Mshauri wa Padre Bw. George Lugendo kuwa mjumbe katika mkutano huo, na mbadala wake ni Katibu wa kanisa Bw. John Mwimbe
Fr. Challo akisoma barua hiyo na kuitolea ufafanuzi kwenye ibada