Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 27 Machi 2016

Familia ya Bwana Godfrey Mshuza yamshukuru Mungu kwenye ibada ya Pasaka

Bwana Godfrey Mshuza akitoa neno la kumshukuru Mungu kufuatia kaka yao (George) kutwaliwa na Bwana tarehe 14 Machi 2016 na pia mtoto wao Angelina kutimiza umri wa miaka 11.
 Familia ya Mshuza ikapata baraka toka kwa Padre Challo
Wana jumuiya ya Yakobo ambao waliisindikiza familia ya Mshuza kumshukuru Mungu