Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 6 Machi 2016

Familia zikipanda na Bwana madhabahuni

Familia ya Fr. Patrick Challo ikipanda mbegu madhabahuni.

Ibada iliongozwa na Fr. Patrick Chalo
Msaidizi: Mwinjilisti John Haule
Mahubiri: Mwinjilisti John Haule
Kwaya: Sayuni na Uinjilisti
Somo la kwanza: II Nyakati 36:14-23
Somo la pili: Efeso 2:4-10
Injili: Yohana 3:14-21
Zaburi: 137:1-6

Wazo kuu: Neema ya Mbinguni
Familia ya Mwinjilisti John Haule ikipanda na Bwana. 


Bofya hapa kuona picha za familia nyingine  zaidi ya 40 zilizopanda na Bwana