Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 20 Machi 2016

Ibada ya Jumapili ya mitende leo


Picha hii inaashiria kuwa leo ni Jumapili ya mitende. Pichani ni watoto wakiwa bize nje ya kanisa wakisuka mitende katika kuadhimisha siku hii. Hawa ni kati ya wakristo waliokosa nafasi ndani ya kanisa na kulazimika kushiriki ibada wakiwa nje ya kanisa.
Pichani Padre Challo kushoto, akifuatiwa na Mwinjilisti Haule na muhudumu wakijiandaa kuingia ndani ya kanisa baada ya maandamano.

Ibada iliongozwa na Fr. Patrick Chalo
Msaidizi: Mwinjilisti John Haule
Mahubiri: Fr. Patrick Chalo
Kwaya: Sayuni na Uinjilisti
Somo la kwanza: Isaya 50:4-9
Somo la pili: I Wakorintho 1:18-25
Injili: Marko 14:32-15:41
Zaburi: 22

Wazo kuu:  Njia ya msalaba-Mateso

NYIMBO
Maandamano: 443 na 197
Mwanzo: 428
Ushirika: Tenzi 86
Mwisho: 515

TENZI
Injili 77 na 4

Injili ikisomwa na Mwinjilisti John Haule akisaidiwa na wahudumu
 Wakristo wengine walilazimika kusali wakiwa nje baada ya nafasi kujaa ndani ya kanisa
 Baadhi wa waumini vijana wakiwa bize kusuka mitende
 Kwaya ya Uinjilisti ikimsifu Bwana mbele ya kanisa
 Msomaji wa somo la kwanza na la pili

Katibu wa kanisa Bw. John Mwimbe akiwakaribisha wageni kabla ya kuanza kutangaza matangazo
Mgeni upande wa akina mama akijitambulisha, ametoka Mwanza
 Mgeni upande wa akina Baba akijitambulisha, ametoka Mbeya
 Vijana watanashati wanapatika kwa Yesu, walilazimika kusikiliza neno la Mungu wakiwa nje baada ya nafasi kujaa
  
 Waumini ndani ya kanisa
 Waumini upande wa akina mama
 Padre Challo na Mwinjilisti Haule wakimpa sakramenti takatifu mkristo ambaye hakuwa na uwezo wa kwenda kushiriki mbele.
Sayuni kwaya wakimsifu Bwana

 Waumini nje ya kanisa
 Vijana watanashati wanapatikana kwa Yesu
Mwisho wa ibada, wakristo wakisalimiana nje ya kanisa

0 maoni:

Chapisha Maoni