Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 13 Machi 2016

Ibada ya pili ya leo

 Mkristo akisoma somo la kwanza na la pili.

Ibada iliongozwa na Fr. Patrick Chalo
Msaidizi: Mwinjilisti John Haule
Mahubiri: Fr. Patrick Chalo
Kwaya: Sayuni
Somo la kwanza: II Nyakati 36:14-23
Somo la pili: Efeso 2:4-10
Injili: Yohana 3:14-21
Zaburi: 137:1-6

Wazo kuu:  Neema ya Mbinguni

NYIMBO
Mwanzo: 317
Ushirika: 354
Mwisho: 413

TENZI
Injili 67, na 116

 Sayuni kwaya wakimwimbia Bwana
 Mwalimu wa kwaya ya Sayuni akipiga gitaa wakati kwaya yake ikiimba
 Waumini wakisikiliza neno la Mungu kama lilivyohubiriwa na Fr. Patrick Challo
 Mzee wa kanisa akiandaa vyombo vya sadaka wakati wa matoleo huku kwaya ya wana UKWATA chuo Rada Majohe ikimwimbia Bwana.
Kwaya ya wana UKWATA chuo Rada Majohe ikimwimbia Bwana.


Sayuni Kwaya ikimwimbia Bwana
Wakristo wakifurahi katika Bwana baada ya Ibada ya pili kwisha, wakiongozwa na Bibi Winie wa kwanza kushoto