Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 13 Machi 2016

Jumapili ya mitende tar 20 Machi 2016

Jumapili ya mitende ni tarehe 20 Machi 2016, siku hiyo kutakua na ibada moja tu itakayoanza saa 1:00 asubuhi. Kabla ya ibada kuanza kutakua na maandamano, hivyo ni vema wakristo kufika mapema zaidi (12:30) kwaajili ya kushiriki kwenye maandamano.

Siku moja kabla (Jumamosi) wanakwaya wa kwaya zote wanaombwa waje kukata mitende kwaajili ya kupamba kanisa.

0 maoni:

Chapisha Maoni