Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 20 Machi 2016

Kikao cha halmashauri ya mtaa chafanyika leo

Kikao cha halmashauri ya Mtaa wa Mt.Mthayo-Majohe kimefanyika leo kwa muda wa masaa takribani 8 kuanzia saa 6 mchana hadi saa 2 usiku. Mambo mengi yamejadiliwa na kufikiwa muafaka. Pichani juu ni Padre Challo ambaye ndiye aliongoza kikao, kushoto ni Mhazini wa kanisa Bw. Semaganga, kulia ni Katibu wa kanisa Bw. John Mwimbe.

Wajumbe Ni muda wa chakula sasa
Ni saa 2 usiku sasa, wajumbe wakiimba wimbo wa mwisho kabla ya Padre Challo kufunga kikao kwa sala.

0 maoni:

Chapisha Maoni