Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumatatu, 28 Machi 2016

Picha za pamoja na picha za kuagana na watoto yatima Buza

Watoto yatima wa Buza, mlezi wao na wakristo wa kanisa anglikana Mt.Mathayo-Majohe kwenye picha ya pamoja
Wana Umaki wa Mt.Mathayo-Mojohe, wakiwa pamoja na baadhi ya watoto yatima na Mlezi wao (Sister Ruth). Mwenye tshirt nyeupe ni Kanicius, mhazini wa Sayuni Kwaya ya Mt.Mathayo-Majohe

 Padre Meshack Malilo wa Mt. Benard Yombo Buza akiagana na wakristo wa Majohe
 Padre Meshack Malilo akiagana na Bibi Winnie
 Wakristo wakiingia kwenye basi tayari kwa safari kurudi Majohe
 Padre Patrck Challo akiwa kwenye gari yake ya kifahari tayari kwa safari kuelekea Majohe
Wakristo wa Majohe ndani ya basi wakirudi Majohe, kulia ni Mwinjilisti Haule na aliyeshika juu ni Rebeca Mwansi (Mwenyekiti Msaidizi wa Sayuni Kwaya)

0 maoni:

Chapisha Maoni