Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Ijumaa, 25 Machi 2016

Tafakari ya maneno 7 ya Bwana Yesu msalabani kwenye Ibada ya Mateso (Ijumaa Kuu)

Mama Mayao ndiye aliyefungua pazia la tafakari ya maneno saba ya Bwana Yesu alipokuwa msalabani. Neno alilotafakari ni “Wasamehe hawajui walitendalo”. Baada ya Mama Mayao walifuatia wakristo wafuatao kutafakari maneno sita yaliyosalia.
 Mzee Semaganga akitoa tafakari ya neno la pili "Unikumbuke"
 Bibi Winnie akitoa tafakari ya neno la tatu "Mama tazama mwanao"
 Catherine Semaganga akitoa tafakari ya neno la nne "Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha?"
 John Mwimbe akitoa tafakari ya neno la tano "Nasikia kiu"
Neema Nkaya akitoa tafakari ya neno la sita "Imekwisha"

Neno la saba lilitolewa na Padre challo "Mikononi mwako naiweka roho yangu"

0 maoni:

Chapisha Maoni