Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Ijumaa, 25 Machi 2016

Tafakari ya vituo 14 vya mateso ya Bwana Yesu kwenye Ibada ya Mateso (Ijumaa Kuu)

Tafakari ya vituo 14 vya mateso ya Bwana Yesu ilianza kwa Padre Challo kutoa tafakari ya kituo cha kwanza ambacho ni "Yesu anatolewa asulubiwe"
 Mwinjilisti John Haule akitoa tafakari ya kituo cha pili ambacho ni "Yesu anajitwika msalaba"
 Mhudumu wa kanisa, Sunday akitoa tafakari ya kituo cha tatu "Yesu anaanguka mara ya kwanza"
 Mama Mitti akitoa tafakari ya kituo cha nne "Yesu anakutana na mama yake"

 Mama Mwimbe akitoa tafakari ya kituo cha tano "Simon Mkerene anamsaidia Yesu msalaba"
Mzee Panduka akitoa tafakari ya kituo cha sita "Veronica anamfuta jasho Yesu kwa kitambaa chake"
 Bibi Winnie akikitoa tafakari ya kituo cha saba "Yesu anaanguka mara ya pili"
 Bibi Winnie alilazimika kutoa tafakari ya kituo cha nane "Yesu anawafariji wanawake wa Yerusalem"
 Mzee Kabushemela akitoa tafakari ya kituo cha tisa "Yesu anaanguka mara ya tatu"
 Mzee Pilla akitoa tafakari ya kituo cha kumi "Yesu anavuliwa nguo na kupewa divai iliyochanganywa na nyongo"
 Kanicius akitoa tafakari ya kituo cha kumi na moja "Yesu anakazwa msalabani"
 David Mgimba akitoa tafakari ya kituo cha kumi na mbili "Yesu anainamisha kichwa, anatoa roho"
 Asnati Azori akitoa tafakari ya kituo cha kumi na tatu "Yesu anashushwa msalabani"
Padre Challo akitoa tafakari ya kituo cha kumi na nne "Yesu anawekwa kaburini"

0 maoni:

Chapisha Maoni