Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 13 Machi 2016

Uhamisho wa Padre Patrick Challo na ujio wa Padre Meshack Malilo

Padre Patrick Challo


Kufuatia na zoezi la uhamisho wa mapadre na mashemasi, Padre wa Mtaa wa Mt. Mathayo Majohe Padre Patrick Challo pichani amehamishiwa Mtaa wa Mt. Augustino wa Hipo Tabata Kisukuru. Padre Meshack Malilo wa Mt. Benard Yombo Buza atahamia hapa kwetu Mt. Mathayo Majohe.

Padre Challo atatuaga rasmi tarehe 17 April 2016. Misa itakua moja tu, na itaanza saa 1:00 asubuhi.

Tunamtakia mema Padre Challo huko aendako, na pia tunamkaribisha Padre Meshack Malilo hapa Majohe

Padre Meshack Malilo