Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 27 Machi 2016

Video na Picha za matukio kwenye Ibada ya Pasaka leo

Pichani ni baadhi ya wakristo wakishiriki ibada ya Pasaka wakiwa nje ya kanisa baada ya nafasi kujaa ndani.

 Ibada iliongozwa na Fr. Patrick Chalo
Msaidizi: Mwinjilisti John Haule
Mahubiri: Fr. Patrick Chalo
Kwaya: Sayuni na Uinjilisti

Somo la kwanza: Isaya 25:6-9
Somo la pili: 1Wakorintho 5:7-8
Injili: Marko 16:1-7
Zaburi: 118:14-24

Wazo kuu: Kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo

 Ni wakati wa kusikiliza neno la Mungu kama lilivyo hubiriwa na Padre Challo
 Ni wakati wa kupeana amkio la amani, pichani anaonekana Bibi Samwel akiwa mlangoni akipeana amkio la amani kwa furaha na wakristo waliokuwa nje.


Sayuni kwaya wakimwimbia Bwana wakaki wa kutoa sadaka.