Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumatatu, 28 Machi 2016

Wakristo wa kanisa anglikana Majohe wakitoa zawadi kwa watoto yatima Buza

Mama Mitti akimkabidhi Sister Lucy fedha taslim sh. 380,000/= ambazo zilichangwa na wakristo wa Kanisa Anglikana Mt.Mathayo Majohe kwaajili ya kuwasaidia watoto wa kituo hicho.
 Mama Mitti akikabidhi nguo kwa mlezi wa watoto hao
  
 Mama Mitti akiendelea kukabidhi nguo
 Mama Mitti akiendelea kukabidhi nguo
 Mama Mitti akiendelea kukabidhi nguo
 Mama Mitti akiendelea kukabidhi nguo
 Mama Mitti akiendelea kukabidhi nguo
 Mama Mitti akiendelea kukabidhi nguo
 Mama Dorcas ambaye ni mkristo wa Majohe akisalimiana na mtoto yatima.
Vinywaji vikiombewa
Abigaeli, mtoto wa Padre Challo akishiriki kuombea vinywaji
 Watoto wakifurahia vinywaji
  Unywaji wa vinywaji ukiendelea

Mama Mwimbe mwenye nguo za blue, Mama Mitti na Mama Semaganga ambao waliisimamia ziara hii kikamilifu. 
 Padre Challo akishiriki kugawa vinywaji

Wakristo wakiwaweka watoto mikononi mwa Mungu kabla ya kuondoka.

0 maoni:

Chapisha Maoni