Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 10 Aprili 2016

Baadhi ya waumini warudisha kadi za changizo la Sayuni Kwaya

Leo ni siku ya kurejesha kadi za machangizo ya kuisaidia Sayuni Kwaya kwenda kufanya Audio Album ya pili. Baadhi ya waumini walirejesha kadi hizo pamoja na michango waliofanikiwa kukusanya. Wale ambao bado hawajarejesha wanaombwa kufanya hivyo mapema iwezekanavyo ili kuharakisha zoezi la kurekodi. Pichani juu ni Mama Dismas akirejesha kadi yake. Picha za chini ni baadhi ya waumini wengine waliorudisha kadi hizo.
 Kulia ni Adela akirudisha mchango wake akiwa na mkristo mwingine kushoto
 John akirudisha kadi yake, ni mmoja wa wakristo waliotimiza lengo ambalo lilikua ni 35,000/- kwa kila kadi.


 Catherine Semaganga na Mama Mzuri wakirudisha kadi zao

Maoni 2 :