Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumamosi, 2 Aprili 2016

Ibada ya jumuiya ya Mt. Mariam nyumbani kwa Mama Mtalima

Leo wana jumuiya ya Mt. Mariam walikutana nyumbani kwa Mama Mtalima. Ibada iliongozwa na Bw.Sigareti akisaidiwa na Bw.Nathan. Pichani juu ni wakristo wakisikiliza neno la Mungu kwa umakini mkubwa.

 Sigareti akijiandaa kutoa neno

 Ni wakati wa matoleo
 Mkristo akikabidhi mchango wa mwezi wa viongozi
 Aliyebeba mtoto kushoto ndiye Mama Mtalima ambaye ibada ilifanyika kwake.
Sigareti akimkabidhi mtoto wa Dismas (Doreen) neno la wiki ijayo, ibada ya wiki ijayo itafanyika kwa Dismas.

0 maoni:

Chapisha Maoni