Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 10 Aprili 2016

Ibada ya pili leo

Mwinjilisti John Haule akisoma injili akishirikiana na wahudumu wa madhabahuni.

Ibada iliongozwa na Fr. Patrick Chalo
Msaidizi: Mwinjilisti John Haule
Mahubiri: Manase Charles Machapula (kutoka kigango cha Viwege)
Kwaya: Uinjilisti

Somo la kwanza: Ezekiel 34:11-16
Somo la pili: 1Wakoritho 15:42-48
Injili: Yohana 10:11-16
Zaburi: 23

Wazo kuu: Mchungaji mwema

NYIMBO
Mwanzo: 317
Ushirika: 370
Mwisho: 439

Tenzi: Injili 30, na 23

0 maoni:

Chapisha Maoni