Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 3 Aprili 2016

Matukio ya Ibada ya kwanza leo

Mama Mayao toka Kigango cha Viwege ndiye aliyehubiri leo.

Ibada iliongozwa na Fr. Patrick Chalo
Msaidizi: Mwinjilisti John Haule
Mahubiri: Mama Mayao (kutoka kigango cha Viwege)
Kwaya: Sayuni

Somo la kwanza: Isaya 25:1-9
Somo la pili: 1Wakorintho 15:42-48
Injili: Yohana 20:24-31
Zaburi: 53

Wazo kuu: Yesu ushindi wetu

NYIMBO
Mwanzo: 213
Ushirika: 354
Mwisho: 488

Tenzi: Injili 26, na 38

 Wakristo waliomtolea Bwana Fungu la kumi
 Ni wakati wa Ushirika mtakatifu
 Matoleo
Kwaya ya Sayuni ikimwimbia Bwana
Mwisho wa ibada, wakristo wakiwa nje ya kanisa

0 maoni:

Chapisha Maoni