Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 3 Aprili 2016

Matukio ya Ibada ya pili leo

 Pichani juu ni Asnati Azori ambaye alisoma somo la kwanza na la pili

Ibada iliongozwa na Fr. Patrick Chalo
Msaidizi: Mwinjilisti John Haule
Mahubiri: Mama Mayao (kutoka kigango cha Viwege)
Kwaya: Uinjilisti

Somo la kwanza: Isaya 25:1-9
Somo la pili: 1Wakorintho 15:42-48
Injili: Yohana 20:24-31
Zaburi: 53

Wazo kuu: Yesu ushindi wetu

NYIMBO
Mwanzo: 213
Ushirika: 354
Mwisho: 488

Tenzi: Injili 26, na 38
 Uinjilisti Kwaya wakiimba
Baadhi wa watoto wakiwa kwenye ibada ya wakubwa wakisubiri kupata baraka kabla ya kwenda kwenye darasa lao la ‘Sunday School’
 Mwinjilisti Haule akisoma injili huku akisaidiwa na wahudumu
 John Mwimbe akisoma matangazo
 Mama Mayao toka kigango cha Viwege ndiye aliyetulisha neno la Bwana leo.
 Wanafunzi wa kipaimara ambao walisali ibada ya wakubwa ili kuanza kujifunza mambo mbalimbali, hapa wakisali baada ya kusikiliza mahubiri
 Wakristo wakisali baada ya mahubiri
  Wakristo wakisali baada ya mahubiri
 Wakristo waliomtolea Bwana fungu la kumi
Mzee wa zamu ibada ya pili, Catherine Semaganga akitimiza majukumu yake. Hapa alimsaidia kubeba mtoto mkristo mmoja ili akashiriki chakula cha Bwana. Mungu akubariki kwa kazi nzuri mzee wa zamu.

Watoto wazuri wakifurahi katika Bwana
Watoto wazuri wakifurahi katika Bwana

0 maoni:

Chapisha Maoni