Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 24 Aprili 2016

Mkristo wa wiki (NDAISON JACOB)


Ndaison Jacob ndiye "Mkristo wa Wiki". Uwanja ni wenu kumuuliza maswali au kutoa maoni ya HEKIMA. 

Jinsi ya kutuma swali/maoni yako:-
 1. Andika swali/oni lako kwenye sehemu ya Kuchapisha maoni 'textarea' hapo chini.
 2. Chagua unataka kutoa maoni kama nani, kwenye sehemu ya 'Toa maoni kama'.Kama ukituma kwa kutumia akaunti ya Google, basi utatakiwa kuingiza 'email address' na 'password' yako ya google. 
 3. Kama hukumbuki 'email address' na 'password' yako ya google basi chagua kutuma maoni kama 'Asiyejulikana', hapa hutatakiwa kuingiza email address wala password, ila kwenye swali/oni lako andika na jika lako kwa chini ili tujue nani katuma hilo swali au oni.
 4. Bofya kitufe cha 'Chapisha' ili kutuma swali/oni lako.

Angalizo: Kila swali litakaloulizwa lazima lihakikiwe kabla ya kuruhusiwa kuonekana. Hivyo ukishatuma swali lako utalazimika kusubiri lihakikiwe ndipo lionekane kwenye ukurahasa huu.Endapo utahitaji msaada wowote kuhusu kutuma swali au kujibu swali usisite kuuliza kwa namba hii 0758 3033330 kwa msaada zaidi.

Maoni 27 :

 1. Kaka nakukubali unaposimamia hoja yako ubarikiwe

  JibuFuta
  Majibu
  1. Ni kweli huwa napenda kusimamia jambo lifanikiwe hiyo kusimamia hoja ikikaa vzr then utekelezaji unafuata

   Futa
 2. Mkuu ni mwaka gani ulimpokea Yesu kuwa mwokozi wa maisha yako? Nini kilikusukuma kufanya hivyo?

  JibuFuta
  Majibu
  1. Aise dismas nimeokoka siku nyingi sana na kilichonisukuma ni kwamba ukimpenda mungu lazma ufanikiwe tu

   Futa
  2. Niliokoka siku nyingi halafu sikumbuki

   Futa
 3. Hongera kuwa mkristo wa wiki

  JibuFuta
 4. Kaka Ndaison hongera kwa kuwa na mke beautiful. Nini kiliufanya moyo wako udondokee kwake na c o kwa mwingine?

  JibuFuta
  Majibu
  1. Hapo mie namuachia mungu coz ndio aliyeniongoza ktk kumpata huyo mwanamke ambaye ndio mke wangu.

   Futa
  2. Thanks yote hayo ni mungu kwa kuweza kunipa macho ya kumuona

   Futa
 5. Unajisikiaje kuwa mkristo wa Wiki

  JibuFuta
  Majibu
  1. Kiukwel najickia vzr sana

   Futa
  2. Kiukwel najickia vzr sana

   Futa
  3. Kiukwel kanisani kwetu kwenye mtandao watu hawako aware hivyo nawshauri watumie coz ni kuzur sana Huku na kunachangamoto zake nzur

   Futa
 6. Ndaison huwa nakuona kama umewahi kucheza mpira wa miguu, ni kweli wewe ni mcheza soka au umewahi kucheza soka siku za nyuma?

  Naitwa Chriss

  JibuFuta
 7. Kaka Ndaisoni wewe ni mtaalamu wa fani gani? Au unajishughulisha na nn? Ili kama kuna kazi tuwe tunapeana sisi kwa sisi.

  JibuFuta
  Majibu
  1. Kuhusu fani ni vzr tukionana live ili tuongee kwa urefu zaid

   Futa
 8. Ukiwa kama mwenyekiti wa TAYO unaiona TAYO ikifikia level gani kwa siku za mbeleni?

  JibuFuta
  Majibu
  1. Tatizo la tayo tunakuwa watu wa matukio hivyo uko mbeleni itategemea inaweza kufail au kustawi

   Futa
 9. Ungewashauli nini wanao tembelea tovuti hii

  JibuFuta
 10. Kaka Ndaison unawalinganishaje wahudumu(mapadre,wainjilisti,maaskofu n.k) wa sasa na wale wa zamani?

  JibuFuta
  Majibu
  1. Kiukwel wa sasa na zaman ni tofaut coz wazaman walikuwa serial ila wasasa kidogo utumishi umepungua ila ili wawe kama zaman maombi yanahitajika sana

   Futa
 11. Ndaison unadhani siku hz maadili ya wakristo yameshuka? wahudumu wanachangia mmomonyoko wa maadili?

  JibuFuta