Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 24 Aprili 2016

Padre Meshack Malilo aongoza Ibada kwa mara ya kwanza kanisa Anglikana Mt.Mathayo-Majohe

Padre Meshack Malilo akihubiri kwenye Ibada ya pili leo, ikiwa ni siku yake ya kwanza kuhudumu mtaa wa Mt.Mathayo-Majohe.

Ibada iliongozwa na Fr. Meshack Malilo
Msaidizi: Mwinjilisti John Haule
Mahubiri: Fr. Meshack Malilo
Kwaya: Uinjilisti

Somo la kwanza: Mithali 4: 10-19
Somo la pili: Ufunuo 21: 1-6
Injili: Mathayo 11: 25-30
Zaburi: 145:8-21

Wazo kuu: Njia, kweli na Uzima

NYIMBO
Mwanzo: 452
Ushirika: 344
Mwisho: 439

Tenzi: Injili 101, na 40

"SB 4 YA PASAKA"

Padre Malilo akiendelea kuhubiri
Katibu John Mwimbe akisoma matangazo

 Waumini upande wa akina baba
Waumini upande wa akina Baba

0 maoni:

Chapisha Maoni