Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 17 Aprili 2016

Padre Patrick Challo awaaga wakristo wa kanisa Anglikana Mt. Mathayo-Majohe

Pichni ni Padre Challo akiwaaga wakristo wa Majohe kwa uchungu mkubwa.

Katika misa ya leo Padre Patrick Challo amewaaga rasmi waumini wa Mt.Mathayo-Majohe. Padre Challo amehamishiwa Mtaa wa Mt. Augustino wa Hipo Tabata Kisukuru. Na hapa Majohe atakuja Padre Meshack Malilo wa Mt. Benard Yombo Buza. Mungu amtangulie Padre Challo huko aendako, na tunamkaribisha sana Padre Malilo.

Tazama video hapo chini Padre Challo wakiaga na mkewe

0 maoni:

Chapisha Maoni