Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 3 Aprili 2016

Picha nyingine 14 za waumini walioshiriki ibada ya kwanza leo

Hizi ni picha za wakristo walioshiriki ibada ya kwanza wakiwa na nyuso za furaha. Pichani juu anaonekana mwenyekiti wa Jumuiya ya Mtakatifu Cecylia, Ndaison Jacob (mwenye kaunda suti nyeusi) akiwa katika tabasamu bashasha kuashiria anaye Yesu moyoni mwake.


 Mzee wa zamu, Elikana akiwa makini na kazi yake
 Kulia ni katibu wa kanisa Bw. John Mwimbe akimwimbia Bwana
 Hapa ndipo utaamini akina mama na akina dada wazuri utawapata kwa Yesu


 Dada Neema Nkaya (wa mbele) akicheka sana kuthibitisha kweli kwa Yesu kuna furaha

0 maoni:

Chapisha Maoni