Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 8 Mei 2016

Vitu vya kuzingatia kwa wanafunzi wa Kipaimara

Kipaimara ni tarehe 21/05/2016
Kila mwanafunzi wa kipaimara anatakiwa azingatie yafuatayo:-

 1. Kitabu cha Sala, Nyimbo, Tenzi na Biblia
 2. Cheti 10,000/= 
 3. Sadaka 10,000/=

Maoni 7 :

 1. Maoni yangu ni juu ya uboreshaji wa huduma ya vyoo. Kwa sababu watu hupata shida kusubiliana kwenye choo kimoja. Amin

  JibuFuta
  Majibu
  1. Ubarikiwe Jeremiah, maoni yatafikishwa kwa wahusika

   Futa
 2. Mtu akitaka kupata kipaimara Kwa Sasa afanyeje maana ninahitaji

  JibuFuta
 3. Mtu anayehitaji kipaimara Kwa Sasa afanyeje

  JibuFuta
 4. Charles piga no 0715685211 (Katibu) kwa maelezo zaidi

  JibuFuta
 5. Naweza kufunga Ndoa Bila kipaimara kweli

  JibuFuta
  Majibu
  1. Charles piga no 0715685211 (Katibu) kwa maelezo zaidi

   Futa