Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumatatu, 23 Mei 2016

Picha 25: 'Birthday Party' ya watoto Albert na Geofrey yafana

Kushoto ni Geofrey (miaka 10) akiwa na Albert (miaka 2) wakijiandaa kukata cake. Hapa ni Coco beach ambapo sherehe hiyo fupi ilianzia na baadae walihamia Quality Centre kuendelea kusheherekea. Albert ni mtoto wa katibu wa kanisa Anglikana Mt. Mathayo Majohe Bw. John Mwimbe, na Geofrey ni mtoto wa Lucy Malugu ambaye ni muimbaji na katibu msaidizi wa Uinjilisti Kwaya kanisa Anglikana Mt. Mathayo Majohe.

 Mambo ya maakuli yalikua hivi. Angalau uambulie kumeza mate kwa picha
 Mama Albert akiandaa cake
 Albert akiitazama cake kwa hamu kubwa, ni kama vile anasema "Leo itanikoma hii". Kushoto ni kaka yake Albert, anaitwa Aron.

 Mama Albert akijiandaa kukata cake
 Baba mwenye nyumba mwenyewe, John Mwimbe (katibu wa kanisa)
 Bila kupoteza muda Albert akaanza zoezi la kulisha watu cake, hapa ameanza kumlisha cake Geofrey
 Hapa akimlisha kaka yake (Aron)

Geofrey akimlisha cake mama yake.

0 maoni:

Chapisha Maoni