Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 15 Mei 2016

Matukio ya ibada ya pili leo

 Muumini aliyesoma somo la kwanza na la pili ibada ya pili leo.

Ibada iliongozwa na Fr. Meshack Malilo
Msaidizi: Mwinjilisti John Haule
Mahubiri: Fr. Meshack Malilo
Kwaya: Uinjilisti

Somo la kwanza: Ezekiel 36: 23-28
Somo la pili: Matendo 2: 12-21
Injili: Yohana 14: 25-29
Zaburi: 122

Wazo kuu: Kuja kwa roho mtakatifu

NYIMBO
Mwanzo: 240(241)
Ushirika: 348
Mwisho: 484

Tenzi: Injili 101, na 40

SB. YA PENTEKOSTE
 Mwinjilisti Haule akisoma Injili huku akisaidiwa na wahudumu.
 Baraka kwa watoto

Fungu la kumi.

Zifuatazo ni picha mbalimbali za waumini kwenye ibada ya pili.0 maoni:

Chapisha Maoni