Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 15 Mei 2016

Mkristo wa wiki (MAGRETH ANDERSON)


Magreth Anderson ndiye "Mkristo wa Wiki". Uwanja ni wenu kumuuliza maswali au kutoa maoni ya HEKIMA. 

Jinsi ya kutuma swali/maoni yako:-

 1. Andika swali/oni lako kwenye sehemu ya Kuchapisha maoni 'textarea' hapo chini.
 2. Chagua unataka kutoa maoni kama nani, kwenye sehemu ya 'Toa maoni kama'.Kama ukituma kwa kutumia akaunti ya Google, basi utatakiwa kuingiza 'email address' na 'password' yako ya google. 
 3. Kama hukumbuki 'email address' na 'password' yako ya google basi chagua kutuma maoni kama 'Asiyejulikana', hapa hutatakiwa kuingiza email address wala password, ila kwenye swali/oni lako andika na jika lako kwa chini ili tujue nani katuma hilo swali au oni.
 4. Bofya kitufe cha 'Chapisha' ili kutuma swali/oni lako.


Angalizo: Kila swali litakaloulizwa lazima lihakikiwe kabla ya kuruhusiwa kuonekana. Hivyo ukishatuma swali lako utalazimika kusubiri lihakikiwe ndipo lionekane kwenye ukurahasa huu.

Endapo utahitaji msaada wowote kuhusu kutuma swali au kujibu swali usisite kuuliza kwa namba hii 0758 303330 kwa msaada zaidi.

Maoni 3 :

 1. Shalom Mage,

  Najua hujaolewa. Je ungependa Bwana akujalie umpate mume mwenye muonekano upi na tabia zipi?

  JibuFuta
 2. Sababu zipi zilikufanya ujiunge na Sayuni kwaya badala ya Uinjilisti kwaya?

  JibuFuta
 3. Mungu akutie nguvu katika Huduma yako

  JibuFuta