Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumamosi, 7 Mei 2016

Mkristo wa wiki (STEPHANO MLANGA)


Stephano Mlanga ndiye "Mkristo wa Wiki". Uwanja ni wenu kumuuliza maswali au kutoa maoni ya HEKIMA. 

Jinsi ya kutuma swali/maoni yako:-


 1. Andika swali/oni lako kwenye sehemu ya Kuchapisha maoni 'textarea' hapo chini.
 2. Chagua unataka kutoa maoni kama nani, kwenye sehemu ya 'Toa maoni kama'.Kama ukituma kwa kutumia akaunti ya Google, basi utatakiwa kuingiza 'email address' na 'password' yako ya google. 
 3. Kama hukumbuki 'email address' na 'password' yako ya google basi chagua kutuma maoni kama 'Asiyejulikana', hapa hutatakiwa kuingiza email address wala password, ila kwenye swali/oni lako andika na jika lako kwa chini ili tujue nani katuma hilo swali au oni.
 4. Bofya kitufe cha 'Chapisha' ili kutuma swali/oni lako.


Angalizo: Kila swali litakaloulizwa lazima lihakikiwe kabla ya kuruhusiwa kuonekana. Hivyo ukishatuma swali lako utalazimika kusubiri lihakikiwe ndipo lionekane kwenye ukurahasa huu.

Endapo utahitaji msaada wowote kuhusu kutuma swali au kujibu swali usisite kuuliza kwa namba hii 0758 3033330 kwa msaada zaidi.

Maoni 8 :

 1. Hongera kwa kuwa mkristo wa wiki
  Ukiwa kama mwenyekiti wa ujenzi unatarajia kutufanyia kitu gani katika kanisa kihusucho ujenzi

  JibuFuta
  Majibu
  1. Asante kunipongeza
   Mimi kama mwenyekiti pekeyaangu
   Siwezi ila kwa kushilikiana na
   kamati kuu nitasimamia chochote kitakacho takiwa.

   Futa
 2. Mlanga naomba kujua historia yako kwa ufupi

  JibuFuta
  Majibu
  1. Nimezaliwa njombe nimekulia DSM nimesoma kisutu p/s ufundi NVTC DSM

   Futa
 3. Unadhani kuna uwezekano Mtaa wa Mt.Mathayo kujenga kanisa jipya la kisasa hivi karibuni?

  JibuFuta
  Majibu
  1. Ndio tunaweza kukiwa na moyo thabiti
   Wa kutoa sadaka na kujitoa

   Futa
 4. Mngependa kujua nini kutoka kwangu?

  JibuFuta
 5. Sherehe ya kipaimara ya kijana wako itafanyikia wapi tuje tupige mpunda?

  JibuFuta