Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 29 Mei 2016

Picha 10: Muimbaji binafsi, Justine akimsifu Bwana akishirikiana na waumini kwenye ibada ya pili leo

Kushoto ni Justine akiimba pamoja na waumini wa Mt. Mathayo Majohe. Ndaison kulia, akifuatiwa na Mama Mitti na Mama Kabushemela (mwenye bluu) wakiimba/ kucheza pamoja na Justine.
 Justine akiimba huku akipata sapoti toka kwa wanakwaya wa Uinjilisti

 Waumini wakimfurahia uimbaji wa Justine

 Ndaison Jacob kulia akiimba/kucheza na Justine
 Akina mama wakiimba pamoja na Justine
 Mama Mitti kulia pamoja na waumini wengine wakiimba pamoja na Justine

0 maoni:

Chapisha Maoni