Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 29 Mei 2016

VIDEO na PICHA: Dereva Bodaboda ataka kuvuruga Mkutano kwa kukatiza katikati ya waumini

Wakati mkutano ukiendelea kilitokea kituko pale dereva bodaboda alipotaka kukatiza katikati ya waumini huku akiwa amewapakia abiria (akina mama) wawili (mshkaki). Busara za Elikana na Mwinjilisti Haule kama wanavyoonekana pichani zilisuluhisha suala hili.
Raymond na Mwinjilisti Haule ndiyo walioanza kuongea na dereva bodaboda kabla ya Elikana kuongezeka.

Baada ya kupewa maneno ya busara, dereva huyo alikubali kupita pembeni ya waumini na kuondoka huku abiria mmoja akishangilia kuonesha kuridhika na walicho amriwa.

Video ya tukio hilo kwa kifupi

0 maoni:

Chapisha Maoni