Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 12 Juni 2016

Baadhi ya matukio kwenye ibada ya leo

Mwinjilisti Simon Nundwe pichani toka Mt. Paulo ndiye aliyetulisha neno la Bwana leo. Tunashukuru sana kwa huduma yake ambayo ilizidi kutujenga zaidi kiroho. Pamoja na mengi aliyohubiri, pia alisisitiza juu ya kumtolea Bwana kwa uaminifu hasa fungu la kumi. Ubarikiwe sana mtumishi.

Msomaji wa somo la kwanza na la pili

 Waumini upande wa kulia

Waumini upande wa kushoto

 Watoto wakipata baraka kabla ya kwenda darasani kwao
 Fr. Malilo akisoma barua wakati wa matangazo.
 Masomo na nyimbo za leo kwenye ubao wa matangazo

 Fungu la kumi

0 maoni:

Chapisha Maoni