Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 26 Juni 2016

Picha 12: Matukio mchanganyiko kwenye Tamasha la leo hapa kanisani

 Waumini wakimsifu Mungu kwa kuimba na kucheza
 MC wetu wa leo ambaye ni katibu wa kanisa John Mwimbe. Hakika aliimudu kazi yake
 Sayuni kwaya ya hapa kanisani ikimsifu Bwana
 Salvation Army toka Anglikana parish ya Majohe wakimsifu Bwana
 Uinjilisti kwaya ya hapa kanisani wakimsifu Bwana
Mwimbaji wa kikundi cha kusifu na kuabudu toka kanisa KKKT Kimara Temboni akimwimbia Bwana.
Mwimbaji wa kikundi cha kusifu na kuabudu toka kanisa KKKT Kimara Temboni akimwimbia Bwana.
 Waumini wakicheza na kuimba
 Wapiga vyombo

 Waumini wakiserebuka
Mtumishi wa Mungu toka Viwege akihubiri

0 maoni:

Chapisha Maoni