Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 12 Juni 2016

Picha 13: Msiba wa Mama Violeth Haule nyumbani kwake

Marehemu Mama Violeth Haule kama anavyoonekana kwenye picha ndogo juu ya jeneza. Mungu alitoa na sasa ametwaa, jina lake lihimidiwe.
 Maneno ya kwenye tshirt ambazo zilivaliwa na baadhi ya waombolezaji toka 2 Timotheo 4:7
 Ndugu wa marehemu. Wa pili toka kulia ni Bibi Winnie (Mdogo wa marehemu)

Watumishi ambao walihudumu kwenye ibada ya msiba huo. Toka kulia ni Mwinjilisti Sospeter Mrope  (Mt. Mathiya-Viwege) , Fr. Meshack Malilo (Mt.Mathayo-Majohe) na Mwinjilisti John Haule (Mt.Mathayo-Majohe)

 Chakula
 Waombolezaji
 Wasifu wa marehemu ukisomwa
 Mtoto wa marehemu ambaye anaishi nje ya nchi akija kuongea machache
 Mbunge wa jimbo la Ludewa Mh. Deogratias Francis Ngalawa akiongea machache
 Kuaga
 Bibi Winnie akilia kwa uchungu baada ya kuaga mwili wa Dada yake
 Watoto wa marehemu, kulia ni Mary akiwa na dada yake
Jeneza ndani ya gari tayari kwa safari kuelekea makaburini (Kinondoni)

0 maoni:

Chapisha Maoni