Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 26 Juni 2016

Picha 5: The Stone Band toka kigango cha Viwenge wakishambulia jukwaa kwenye tamasha la leo

The Stone Band toka Kanisa Anglikana kigango cha Viwege kikishambulia jukwaa kwa wimbo mzuri wenye maadhi ya kigogo. Waumini walionesha kubarikiwa sana kwa wimbo huu. Zifuatazo ni picha zaidi walipokuwa wakiimba wimbo huo.

0 maoni:

Chapisha Maoni