Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumamosi, 4 Juni 2016

Mkristo wa wiki (Samweli Haule )-toka kigango cha Viwege

Samwel Haule toka kigango cha Viwege ndiye "Mkristo wa Wiki". Uwanja ni wenu kumuuliza maswali au kutoa maoni ya HEKIMA.

Jinsi ya kutuma swali/maoni yako:-
 1. Andika swali/oni lako kwenye sehemu ya Kuchapisha maoni 'textarea' hapo chini.
 2. Chagua unataka kutoa maoni kama nani, kwenye sehemu ya 'Toa maoni kama'.Kama ukituma kwa kutumia akaunti ya Google, basi utatakiwa kuingiza 'email address' na 'password' yako ya google.
 3. Kama hukumbuki 'email address' na 'password' yako ya google basi chagua kutuma maoni kama 'Asiyejulikana', hapa hutatakiwa kuingiza email address wala password, ila kwenye swali/oni lako andika na jika lako kwa chini ili tujue nani katuma hilo swali au oni.
 4. Bofya kitufe cha 'Chapisha' ili kutuma swali/oni lako.

Angalizo: Kila swali litakaloulizwa lazima lihakikiwe kabla ya kuruhusiwa kuonekana. Hivyo ukishatuma swali lako utalazimika kusubiri lihakikiwe ndipo lionekane kwenye ukurahasa huu.

Endapo utahitaji msaada wowote kuhusu kutuma swali au kujibu swali usisite kuuliza kwa namba hii 0758 303330 kwa msaada zaidi.

Maoni 3 :

 1. Shaloooom! Hongera Sana mtumishi kuwa mkristo wa wiki.. Viwege hawajambooooooo??! Nawamiss Sana, adelaaaaaa

  JibuFuta
 2. Duuh! kabla ya yote naomba kufahamu siri ya afya yako. Naona shavu dodo.

  JibuFuta
 3. Miaka mitano ijayo unaiona Viwege ya namna gani?

  JibuFuta