Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumatatu, 13 Juni 2016

Sayuni Kwaya kuingia studio


Sayuni kwaya wanatarajia kuanza kurekodi audio album yao ya pili kuanzia tarehe 18 Juni 2016.Album hiyo itakuwa na nyimbo 10. Tarehe 17 wanakwaya wote watakesha kanisani kujiandaa na kazi hiyo. Wazazi/walezi mnaombwa ushirikiano wenu juu ya hili. 

Tunamuomba Mungu awatangulie Sayuni kwaya katika kutimiza kazi hii.

0 maoni:

Chapisha Maoni