Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumanne, 5 Julai 2016

Bibi Winie kutimiza miaka 66 kesho


Moja ya tukio la kusisimua katika fellowship ya leo lilikuwa ni la Bibi Winnie kutoa taarifa ya kutimiza miaka 66 kesho. Waumini walipata muda wa kumuimbia wimbo wa “happy birthday”.
Pachani Bibi Winnie akionekana mwenye furaha akiimbiwa wimbo wa “happy birthday” na waumini. 

Tunamuomba Mungu ampe maisha marefu

Maoni 1 :

  1. Hongera sana bibi yetu kipenzi cha watu; mungu azidi kukutunza na akupe maisha marefu zaidi

    JibuFuta