Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 3 Julai 2016

Matukio katika ibada ya kwanza leo


Mwinjilisti Yohana Lenda katikati toka chuo cha Mt. Marko Buguruni akisoma Injili, pia ndiye aliyehubiri. Kulia ni Mwinjilisti Haule wa hapa kanisani na kushoto ni muhudumu wa madhabauni. Ibada ya kwanza iliongozwa na Padre Meshack Malilo na baada ya ibada ya kwanza kukamilika aliondoka kwenda kuhudumu katika ibada ya Mt. Mathiya Viwege.
 


Msomaji wa somo la pili

Fungu la kumi

Waumini upande wa kulia
Waumini upande wa kushoto
Sayuni kwaya ibadani
 Ubao wa matangazo ukionesha masomo na nyimbo za leo
Mshauri wa wakristo John Lugendo akiongea na waumini mwishoni mwa ibada ya kwanza 

0 maoni:

Chapisha Maoni