Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumamosi, 16 Julai 2016

Padre Malilo aongoza ibada ya UMAKI

Leo Padre Mechack Malilo aliendesha ibada na wana UMAKI. Mengi ya muhimu yalijadiliwa katika ibada hiyo katika kukuza UMAKI kanisa anglikana Mt. Mathayo-Majohe. Pichani juu Padre Malilo akiandaa kushiriki meza ya Bwana.
Kushoto ni Neema Nkaya (Mtunza hazina msaidizi wa kanisa), Mama Wawili (M/kiti wa umaki) na Mama Mwinjilisti wakiimba
 Waliosimama toka kushoto ni Bibi Suka, Bibi Winnie, Bibi Samwel na Bibi Mzuri wakiimba.
 Mama Mchungaji kushoto akiimba pamoja na Mama Herieth
 Mwisho wa ibada wakipeana mikono
 Wakiwa wameshikana mikono na kusema neema mwisho wa ibada
Akina mama wa UMAKI walirudi ndani ili kuendelea kujadili machache baada ya Padre kumaliza Ibada

0 maoni:

Chapisha Maoni