Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumanne, 5 Julai 2016

Picha 7: Kilichojiri kwenye ibada ya fellowship leo

Ibada ya fellowship iliongozwa na Mwinjilisti Mshuza kushoto, waumini wakisogea mbele kwaajili ya maombi
Baadhi wa waumini wakiongozwa na Mwinjilisti Haule walipoitwa mbele ili kuonesha mfano wakati wa maahubiri
 Mwinjilisti Mshuza akiendelea kuhubiri
 Mwinjilisti Haule akicheza kwa furaha

 Waumini wakiimba
 
Viongozi wa sekta yoyote kanisani waliitwa mbele ili kuombewa kwaajili ya huduma yao.

0 maoni:

Chapisha Maoni