Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 28 Agosti 2016

Audio: Sikiliza salaam na utambulisho wa Padre William Maparawe toka Buza aliyeongoza ibada za leo

Pichani ni Padre William Maparawe kutoka kanisa Anglikana Buza, ambaye ameongoza ibada ya kwanza na pia ataongoza ibada ya pili. Padre Meshack Malilo yupo Kisukuru kwa huduma. Sikiliza hapo chini utambulisho na salaam zake kwa wakristo wa hapa Majohe.0 maoni:

Chapisha Maoni