Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 7 Agosti 2016

Bibi Samwel haishi vituko hahahahaahaaa!!

Bibi Samwel ambaye ni maarufu sana hapa kanisani kwa ucheshi wake. Ni rafiki wa kila mtu kutokana na kufurahi na kutaniana na kila muumini hapa kanisani. 


Pichani anaonekana akisisitiza kwa majigambo kwamba ataingia hivyo hivyo alivyo ndani ya kanisa ili kutoa sadaka, bila kujali kwamba amevaa mavazi ya kazi. Mavazi aliyovaa alitoka nayo jikoni ambapo alikuwa akiandaa chai na vitafunwa kwaajili wageni na kuuza.

Mungu ambariki sana Bibi Samwel


Katoa kituko mwenyewe halafu anakauka kucheka wenyewe hahahahahahaaa, kweli huyu Bibi ni comedian

0 maoni:

Chapisha Maoni