Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumatatu, 1 Agosti 2016

Hapa ndipo utaamini vijana watanashati wanapatikana kwa Yesu

Vijana watanashati wa kwaya ya Sayuni ya hapa kanisani wakiwa katika picha ya pamoja. Hakika wanapendeza. Kweli kwa Yesu hakukosekani kitu kizuri. Si watanashati kwa muonekano tu bali hata katika kumtumikia Bwana wapo smart pia. Hili linathibitishwa na uwezo wao wa kuimba na kucheza vizuri na kwa bidii.

Toka kushoto ni Jacob, Charles, Frank, Allen na John.Hapa Kanisius kakosekana

Mbarikiwe sana vijana.

0 maoni:

Chapisha Maoni