Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 7 Agosti 2016

Masomo na Nyimbo za ibada ya leo

Leo kulikuwa na ibada moja ambayo ilianza saa 1:00 asubuhi na iliongozwa na Padre Meshack Malilo akisaidiwa na Mwinjilisti Haule na Mwinjilisti Yohana Lenda toka chuo cha Mt. Marko Buguruni, ambaye yupo hapa kwa ajili ya field (mafunzo kwa vitendo)

0 maoni:

Chapisha Maoni