Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumatatu, 1 Agosti 2016

Matukio KKKT vs Anglikana Majohe: Timu yetu ikiwa kanisani kabla ya kwenda uwanjani

 Team Coach(John Mwimbe) akitoa maelezo kwa wachezaji kabla ya kwenda uwanjani kucheza mchezo wa kirafiki kati ya timu ya kanisa KKKT-Majohe na Anglikana-Majohe(Mt.Mathayo) uliofanyika jana uwanja jirani na kanisa KKKT Majohe.
 Huyu ndiye Mdhamini wa timu yetu ya kanisa, Elikana.
 Maelekezo yakiendelea toka kwa Team Coach

 Wadada hawakuwa nyuma, walijitokea kuwapa support kaka zao
 Wachezaji
 Sala kabla ya kuondoka kuelekea uwanjani

0 maoni:

Chapisha Maoni