Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 7 Agosti 2016

Picha 10: Uchezaji wa Jaqueline Dismas wa Paradiso Kwaya wakonga nyoyo waumini Anglikana Majohe

Jaqueline Dismas pichani, hakika ni binti mwenye kipaji cha uimbaji na kumchezea Bwana. Hili limedhihirika leo pale kwaya yake ya Paradiso toka kanisa Anglikana Mt. Benard-Buza ilipofanya ziara kanisa Anglikana Majohe. Jaq ameonesha uwezo mkubwa katika uimbaji na kucheza. Ana uwezo mkubwa sana wa kufikisha ujumbe wa wimbo husika kwa vitendo pale achezapo. Mungu ambariki sana Jaqueline na Paradiso kwaya kwa ujumla.

0 maoni:

Chapisha Maoni